Social Icons

Tuesday, February 5, 2013

KITALE APATA JIKO!!!


 Msanii wa Filamu za kuchekesha hapa nchini maarufu kamaKitale, jana amesherehekea siku yake muhim, kwa kufunga ndoa na mpenzi wake, ambae leo hii tunamuongelea kama mkewe, Bi Fatma Salum.

Ndoa hiyo ilifungwa majira ya Saa nane mchana maeneo ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam, na kuhudhuriwa na watu kibao wakiwemo marafiki, ndugu na jamaa.


CHANZO: MPEKUZI


No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...