Beyonce and her cute baby Blue Ivy Carter spotted when out for lunch in Paris.
Friday, April 26, 2013
Wednesday, April 24, 2013
KAMA BADO HUJASIKIA BASI HABARI NDO HII....SAA YENYE UWEZO WA KUREKODI VIDEO N.K
Tujihadhari na wanaume siku hizi kuna saa zina camera na zina record sauti kwa hiyo tuwe makini saa yenyewe inaonekana ivyo hapo kwa chini ya namba 6 ndio kuna camera yenyewe na kidude cha pembeni microphone na ina recod video pia tuwe makini.hiyo saa ninayo na inauzwa bei rahisi kwa hiyo tuwe makini sana.
Be careful ladies....
SPECIAL THANKS TO YASMIN AMRI KWA KUTUJUZA,NIMESHARE HII KWA FAIDA YA WENGINE SO KAMA VIPI SHARE NA WADADA WENGINE UNAOWAJUA.
Monday, April 22, 2013
Watch How a Reporter Abandons Her Wedding To Cover The China Earthquake While Wearing Wedding Dress (VIDEO)

GONGA HII LINK HAPA CHINI KUONA VIDEO YA TUKIO ZIMA:
Friday, April 12, 2013
JB WEAR LAUNCHING ON FNL YA EATV
Ijumaa iliyopita Jacob Stephen almaarufu kama JB alizindua lebo yake ya JB Bonge La Bwana kwenye T-shirt na Ladies Top kwenye kipindi cha Friday Night Live kinachorushwa na Television ya EATV.
Bidhaa hizo zinapatikana kwenye baadhi ya maduka Dar es Salaam, wa mikoani mnaweza kupata bidhaa zetu kwa kupiga simu namba +255 713 372 194
Kuona yaliyojiri angalia picha hapa chini........









Pichani ni Marco Kilo ambae ndiye msimamizi mkuu wa mradi huu, kumpata piga namba +255 713 372 194 waweza nunua kwa jumla au rejareja.
Waweza pia nipigia mimi kwa namba +255 753 298 373 na utaletewa T-shirt yako au Top popote ulipo ndani ya Dar.
Sunday, April 7, 2013
IN LOVING MEMORY OF STEVEN KANUMBA R.I.P IT'S 1 YEAR!
Leo ni siku ambayo Watanzania wanakumbuka siku ambayo Msanii mkongwe wa filamu Tanzania Marehemu Steven Kanumba alifariki dunia.
Majonzi huzuni na vilio vilitawala lakini ukweli ulibaki pale pale kwamba ametutoka na kwamwe hatutamuona tena. Cha muhimu ni kumuombea huko aliko apumzike kwa amani.
Pole kwa familia ya marehemu, wasanii wenzake na Taifa kwa ujumla. Kumbukumbu zinaumiza sana lakini nawaombea kwa Mungu wawe na mioyo ya uvumilivu na faraja.
Pumzika kwa amani Steven Kanumba,
Bwana alitoa Bwana alitwaa Jina la Bwana Libarikiwe.
Joyce Mahila. Marketing Manager. Nitramek Investment. Lusaka Zambia
Subscribe to:
Posts (Atom)




