Social Icons

Tuesday, October 22, 2013

Majoy Blog Imerudi Tena......


Habari wapenzi wa Majoy blog, Tunaomba radhi kwa kuwa kimya kwa muda mrefu sana kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu.
Kuna mabadiliko kidogo utayaona kutokana na maoni ya watu wengi sana kwamba tuwe tunaandika kwa lugha ya Kiswahili. Sawa tumeyapokea mapendekezo hayo na marekebisho yatafanyika.
Asanteni sana kwa kuwa pamoja nasi kipindi chote ambacho hatukuwa hewani.
Kama una ushauri au maoni ya jinsi ya kuboresha tafadhali tuandikie kupitia majoy28@gmail.com


No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...