Social Icons

Wednesday, July 13, 2011

Mrembo na Mwanamitindo Millen Magese

Ni mmoja kati ya warembo waliowahi kushika nafasi za juu katika mashindano ya urembo Tanzania nampenda sababu ni mrembo anaejituma na kuipenda kazi yake ya uanamitindo.Nakupongeza Millen kwa kuitangaza vema Tanzania kupitia kazi zako.
Baadhi ya picha zake akiwa kazini jijini Lagos Nigeria.special thanks:
Source: Bella Naija
Photography: Moussa Moussa
Makeup: Bimpe Onakoya
Styling: JBL Team
Model: Millen Magese


No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...