Social Icons

Wednesday, July 13, 2011

Old fashions Become New Trends nowdays!!

Kwa kipindi kirefu sasa katika ulimwengu wa mitindo na mavazi yanayobuniwa ni yale amabayo yalitamba sana enzi hizoooooooo za mabibi zetu na mama zetu wakiwa wasichana.Mishono kama mwanameka,shingo debe, sinia na kadhalika...
Hivyo basi wewe dada wa kileo usikubali kupitwa jipatie vivazi ili uendane na wakati.
usikubali kupitwa tembelea kwenye maduka yaliyo jirani na wewe ujipatie la kwako.


huu uliitwa mwanameka

huu shingo ya sinia

hii iliitwa shingo ncha ya sambusa

maarufu kama vibwayaUsikubali kupitwa na mitindo ya kileo kama hiyo ambayo enzi hizo ilikua ni mast have lol!!
Photo: thanks to Theblueboxtoday.com

No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...