Social Icons

Monday, October 31, 2011

YALIYOJIRI WEEK END - JUMAPILI

Niliamka mapema sana nikawahi church misa ya kwanza baadae nikarudi home kuandaa chakula cha mchana sababu mama yangu alikua anakuja kutoka Morogoro(Ndo Kwetu) kunitembelea.Nilimpikia chakula akipendacho nae alifurahi sana.

 
Me and my lovely momy


my precious son DerrickSameer


Mama akila chakula anachopenda ugali na mlenda kwa  samaki wakukaanga


Hii ilikua yangu nilikulajeee sipendi ugali ila kwa mlenda weee huwa najiachia mpaka basi lol!!!


Kama vipi karibu tule........

Baada ya hayo yoootee mama aliondoka zake kurudi Morogoro na ilipofika usiku mie na Esher tulitoka kwenda kujipa raha kidogo maeneo ya Tabata ndani ya Swiss Pub kuangalia Band ya Remmy Ongala inayoongozwa na mtoto wake. Ilikua raha sana tulicheza kupita kiasi.....

Tazama picha.......

Hapo Derrick alikua anabembelezwa ili tumtoroke


Majoy ndani ya Swiss Pub.........Umecheki unyayo mwekundu kwa mbaaaaliii lol!!


Muziki umekolea kitu cha Live Band......

Tuliondoka hapo mida ya saa nane hivi ila tuliinjoi sana.

1 comment:

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...