Social Icons

Monday, February 13, 2012

Kituko Katika Tuzo za Grammy 2012 Red Carpet....

Mwanadada Nicki Minaj akiwa amevalia vazi kama livaliwalo na masister wa Kanisa Katholic


Nicki Minaj alienda mbali zaidi na kuongozana na mwanume alievalia mavazi kama Papa....

UKISTAAJABU YA MUSSA UTAONA YA FIRAUNI NDO HAYA!! JE WEWE MDAU WANGU UNAZUNGUMZIAJE HII?? COMMENT AU NITUMIE EMAIL VIA majoy28@gmail.com


1 comment:

  1. Raha ya kutafuta "attention" hiyo.
    Watafanya lolote na vyovyote kufanikisha hilo.
    Inasikitisha kuona hawa ndio VIOO VYA JAMII.
    Amaa kweli

    ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...