Social Icons

Thursday, March 8, 2012

Happy Women's Day To All Beautiful Women In This World....


“We need to work hard with men in
order to ensure men understand
women’s issues”

Mary Rwegasira, Equality Advisor,Concern Worldwide - Tanzania

Women's ....You are very special, know yourself, work hard,fight for your right and don't ever allow any man to use you for granted.
Nawapenda sana wanawake wote,Ninyi ni wa thamani sana katika hii dunia,Ewe mwanamke popote ulipo usikubali mtu yeyote akutumie kwa faida yake.
TUTAJIKOMBOA NA KUJIKWAMUA KATIKA MAISHA NA HATIMAE KUWA NA MAISHA BORA.....Kwa kufanya kazi kwa bidii,Kujitambua na Kupigania haki zetu wanawake bila kujali wala kuogopa.
Nawatakia Siku Njema na Yenye Mafanikio.

Happy Womens Day!

With Lots Of Love,

Majoy.

No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...