Social Icons

Wednesday, March 7, 2012

LOVE IT...

mama akimnyonyesha mwanae akiwa na uniform zake za kazi
HAKUNA KAMA MAMA JAMANI, BILA KUJALI KWAMBA YUPO KAAZINI TENA MBELE ZA WATU ANAMNYONYESHA MWANAE TENA BILA KUJIFICHA WALA KUJALI MAMBO YA WAPITA NJIA.
HUU NI ZAIDI YA UPENDO.
MUNGU BARIKI WAMAMA WOTE ULIMWENGUNI.


2 comments:

  1. YES anaonekana anavyomjali mtoto wake, safi sana

    ReplyDelete
  2. HAKUNA KAMA MAMA DUNIANI WALA AKHERA ASIKUDANGANYE MTU.HATA AWEJE MAMA NI MAMA.

    ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...