Social Icons

Sunday, June 3, 2012

MAISHA......COMING SOOOOON!!


Esha Salim Buheti na Suleiman Barafu(washiriki wa filamu ya Maisha)

Kampuni ya CY&CL ndio waandaaji wa filamu hii ya maisha inayotarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni.
Filamu hii ya MAISHA inaelezea jinsi maisha yanavyoweza kumbadili mtu akadiriki kufanya vitendo vya kinyama kwa sababu ya mali au madaraka kwa sababu ya tamaa.

Endelea kuangalia picha za baadhi ya washiriki wa filamu hiyo ya maisha hapo chini:-

Issa Musa''Cloud 112''(Muongozaji wa filamu ya MAISHA na mhusika mkuu wa filamu hiyo)

Bi Hindu na Esha

USIKOSE KUNUNUA NAKALA YAKO HALISI!!!


 

No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...