Social Icons

Wednesday, July 25, 2012

R.I.P JOHN EVANS FIFII ATTA MILLS: RAISI WA GHANA

  Rais wa Ghana John Evans Fifii Atta Mills enzi za uhai wake.
Rais wa Ghana John Atta Mills amefariki dunia ghafla leo wakati akipata matibabu.
Taarifa kutoka ofisi ya rais zinasema kuwa alifariki ghafla baada ya kupelekwa hospitali siku ya Jumatatu usiku. Msaidizi wake pia amethibitisha kufariki kwa kiongozi huyo aliyekuwa anajiandaa kugombea tena kiti cha urais. Rais John Atta Mills aliyezaliwa Julai 21, 1944 amefariki akiwa na umri wa miaka 68.

No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...