Social Icons

Tuesday, August 30, 2011

EID MUBARAK WADAU WA MAJOY BEAUTY BLOG...

I WISH U A HAPPY EID AND ENJOYABLE MOMENT ALL MEMBERS OF MAJOY BEAUTY BLOG.
LOVE U ALL,
KISSES.
MAJOY.

SHUKRANI - A WORD OF THANKS!

NAPENDA KUTOA SHUKRANI ZA DHATI KABISA KWA WOTE AMBAO MNATEMBELEA BLOG HII YA MAJOY . YAANI NAFARIJIKA SANA KILA NIINGIAPO NAKUTA ZAIDI YA WATU MIA KWA  SIKU WAMETEMBELEA BLOG KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI DUNIANI.ENDELEENI NA MOYO HUO HUO NASHUKURU  SANA KWA SAPOTI YENU.
NAWAPENDA SANA.

LOVE,
MAJOY.

Monday, August 29, 2011

KIM KARDASHIAN WEDDING RING CAPTURED!!!!



TV personality Kim Kardashian's wedding ring is pictured on her finger as she arrives at the 2011 MTV Video Music Awards in Los Angeles August 28, 2011

Beyonce shows off baby bump at MTV video awards!



Singer Beyonce places her hand on her belly as she poses at the 2011 MTV Video Music Awards in Los Angeles August 28, 2011. Beyonce and husband, rapper Jay-Z, will be expecting their first child next spring.

Beyonce and Jay-Z's offspring doesn't even have a name yet, but it was the indisputable breakout star of Sunday's MTV Video Music Awards, upstaging everyone, even Katy Perry's win for video of the year.

Beyonce performed "Love on Top," and if Twitter hadn't already spread the news, her outfit gave clues to her impending motherhood; instead of her typical sexy outfits, she dressed in conservative spangled tux — but still danced around in her signature stilettos.
Beyonce didn't utter a word about the pregnancy, but ended the number by taking off her jacket and rubbing her swollen belly; in the audience, an elated Jay-Z hooted and clapped for his wife as Kanye West hugged him.In an instant, Beyonce and her soon-to-be child (Jayonce?) managed to overshadow the night's events.

Thanks to: http://www.mtv.com

Friday, August 26, 2011

WEEKEND NJEMA WADAU WOTE WA MAJOY

NAWATAKIA WEEKEND NJEMA WADAU WANGU
WENYE KUSTAREHE MUWE MAKINI NA MFANYE KWA KIASI.
NAWAPENDA SANA.

TO ALL MY FOLLOWERS,
I WISH ALL THE BEST IN WEEKEND.
TAKE CARE OF YOURSELF EVERY ONE
I LOVE U ALL.


MAJOY.

RAMADHANI KAREEM FROM MDAU NAMBA 1 - MOJAONE

Ramadhani ni full raha, mkusanyiko wa kifamily wakati wa kufuturi ni kati ya mambo machache kabisa ambayo yanapatikana katika mwezi huu mtukufu wa ramadhani tu, kwani familia nzima mnajikuta mko pamoja karibu kila siku.

Katika nchi nyingi za kiarabu system ya Ramadhani huwa kama ifatavyo, kwanza kabisa ni kubreak saumu, familia hukusanyika kabla ya magharibi na baada ya kusikia adhana ya magharibi huanza kula tende, matunda, kunywa kahawa na maziwa kisha huenda kusali salaat magharibi na kurudi kuanza kula vyakula vizito kama vile ftari, chapati na vinginevyo kisha huenda kusali salat al-isha na tarawehe na baada ya hapo huwa wapo free kwa mambo mengine.



Pichani ni maandalizi kabla ya kubreak saumu!

Habari na picha shukrani kwa
Mdau Mojaone
Oman.

The super yacht that comes with its own VOLCANO: Multi-million pound boat which is a paradise island

 This is the next super-yacht set to hit the world's oceans - which comes complete with its own functioning volcano and floating tropical islands.
The vessel - dubbed the 'Tropical island Paradise' - has been designed
by British boat builders Yacht Island Design, from Derby, Derbys - some 90 miles from the sea.
The extravagant 295ft ship boasts a towering volcano with a cascading waterfall which feeds the swimming pool. 
Luxury: This yacht will soon be cruising the oceans with its very own floating tropical islands

And playboys will feel right at home with the ships helicopter landing pad and huge bar set behind a series of beach cabanas.
Studio director Rob McPherson at the Derbyshire firm, who have also created the Streets of Monaco super-yacht, said: 'The exterior was designed to give the impression of waves breaking around a volcanic island, whilst maintaining the look of a contemporary yacht design.
'It comes with its own private beach cove and a waterfall cascading down from a volcano.
'This design centres around a secluded island paradise, with elements inspired by the islands of the Caribbean, Indian Ocean and Polynesia. It is set to be a big hit when it comes onto the market.'
The lavish yacht can accommodate up to 10 guests - and can travel along at a top speed of 15 knots.
The main deck is a secluded beach 'cove' of cabanas surrounding a massive ocean view swimming pool.
Spectacular: There is also a huge helicopter landing pad for those quick trips to shore

And should the millionaire future owners get tired of taking a dip in the pool, they can sail out into the sea on their very own floating island complete with deck chairs and palm trees.
McPherson added: 'We had two reasons for designing such a boat. The first being that it's good fun, and secondly the current market is pretty saturated with designs that look fairly similar.
'Our mission is to work on incredibly fun designs and carve a niche for ourselves within the market, a place where other designers fear to tread.'
Inside the huge, towering volcano is a cinema, library, games room, gym, spa and VIP suites - including an owners pad spread over two decks.
The boat - which has yet to hit the market and hasn't had a price set - is causing waves in the boat building world with its unique design.
View from the top: The lavish liner can accommodate up to 10 guests and has a landing pad and huge bar set behind beach cabanas

Thursday, August 25, 2011

Mahusiano - Vyakula vya Kuleta Ashki

Moja ya vitu ambavyo humfanya mtu kuwa na furaha na maisha mazuri ni ubashashi unaombatana na kuondoka kwa mikonjo ya moyo kwa kupata huduma ya ngono.

Nyingi ya dawa zinazoleta hamu ya ngono puia husaidia kurekebisha mfumo wa afya ya mwanamke, nd...io maana nimetaka kwa hapa kidogo kuzungumzia vyakula vya kuleta ashki


Watafiti wamesema kwamba kuna aina fulani ya vyakula huleta ashki kubwa kiasi cha kuwafanya watu wawe na hamu ya kufanya ngono.
Vyakula hivyo vimedaiwa kuwa na aina fulani za kemikali ambazo hufumua mifumo ya tamaa na kufanya dai la kufanya ngono kuwa na nguvu zaidi.
Kutumia chakula kitamu kwa upungufu na kupata lishe kamili yenye uhakikakunaweza kukufanya wewe kufurahia ngono na kutamani kama masuala hayo yameanza kukimbia.


Yaani ukipata dozi inayotakiwa ya protein, carbs, na fats ni dhahiri utakuwa na nguvu zaidi kuliko hapo awali.
Lakini kabla sijakuchanganya zaidi natakakusema kwamba kuwa na nguvu ni kitu kingine na kuwa na hamu ya kufanya ngono na kuimudu ni kitu kingine.
Yaani ukiwa na uwezo wa kufanya mapenzi na kuwa na nia ya kufanya mapenzi kunatokana na wakati wmingine na aina ya chakula unachokula.
Wazungu wanasema kwamba vipo vyakula ambavyo kwa mchanganyiko wake vinbatoa kitu kinachoitwa kwa kizungu aphrodisiacs, yaani vitu ambavyo vinapandisha libido na kuachia tamaa kubwa ya ngono.


Vyakula hivi vinapunguza rehemu vinaweka sawa kiwanda cha kufanya mapenzi, vinaleta riha nzuri zaidi na kuweka homoni katika namna ambayo inastahili.
Pamoja na kukuongezea hizo hamu lakini vyakula hivyo pia vinatoa nishati ya kukutosha kufanya mapenzi.

Wapo waswali wanaokula ngisi, wapo wanaokula karanga, wapo wanaokula muhogo mbichi, wapo waanaolitengeneza vyema tui la nazi, wapo wanaojua kutumia machicha lakini ninachotaka kusema kama nilivyosema hapo juu ni namna tu ya kupiga chakula ambacho kina kemikali zenye viamsha nyege.
Pia kuna aina ya mvinyo ambayo humfanya binti awe na hamu kubwa ya kufanya mapenzi. wapo wanaozungumzia divai na wapo wanaozungumzia amarula.

By:
LAMKEKU MSECHU via RESERVE GROUP(LADIES) on Facebook.




Wednesday, August 24, 2011

VOTE FOR MOUNT KILIMANJARO

MT. KILIMANJARO NOMINATED AS CANDIDATE FOR THE NEW SEVEN NATURAL WONDERS OF THE WORLD

Mount Kilimanjaro which is the highest peak in Africa and the highest free standing mountain in the world has been nominated as a candidate for the seven natural wonders of the world, in a competition organised by an organisation known as Seven Natural Wonders in which tourist attractions from all over the world are voted to nominated as The Seven Natural wonders of The World.

Tanzania will gain much publicity from being listed in the new list of Seven Natural wonders of the World and will be able to use this opportunity to promote Mt. Kilimanjaro as being in Tanzania.
Out of the 28 contestants which have made it to this stage, only two nominations are from Africa, these being Mt. Kilimanjaro (Tanzania) and Table Mountain (South Africa). There is fierce competition between the two African destinations.

Voting trends have shown that most people who are voting for Mount Kilimanjaro are those residing outside the country and that very few Tanzanian residents are voting for Mt. Kilimanjaro unlike the case for Table Mountain where large numbers of South Africans are taking participation in voting for Table Mountain.
We (TTB) would like to urge Tanzanians (in and out of Tanzania), friends and patrons worldwide to vote for

Mount Kilimanjaro so that it becomes one of the New Seven Natural Wonders Of The World.
Votes are being collected at the following website: http://www.new7wonders.com/
Note that the competition is open until November 11th, 2011.
For more information contact:

The Managing Director,
Tanzania Tourist Board,
Dar-es-salaam
Tel: 255-22-2111244/5
Email: md@tanzaniatouristboard.go.tz




Tuesday, August 23, 2011

INSPIRATIONAL


When things seem hopeless, and you have nowhere to turn
Look to our Lord, say a prayer and you will learn
That with Him at your side, when you grieve
That prayers and belief, miracles can happen to those who believe

Never doubt the power of prayer
With it you will find that our Lord does care
Sadness and hopelessness are with us every day
Sometimes we feel we almost lose our way

But you can find yourself, it's not hard to do
Look up to our Lord, you will find him waiting for you
Prayers of Hope, Faith, and a deep trust in your soul
With our Lord at your side, you will surely reach your goal

There will be days when you just sit and cry
Asking our Lord and wondering why
But never give up the power of Prayer
That's when you know our Lord will be there

Miracles do happen to those who believe!!

Love,
****Majoy****




Thursday, August 18, 2011

Simba Oyeeeeeeee!


Simba iliposhinda mechi na mahasimu wake wakubwa Young African aka Yanga kwa mabao 2 kwa 0


Simba wakishangilia baada ya kuchukua ubingwa wa Ngao ya Jamii

Kikosi Imara cha Simba Sports Club

Wednesday, August 17, 2011

UMESHAWAHI KUFIKIRIA HILI????


Mimi huwa nafikiria sana hasa kwa maisha yetu haya wana Tanzania sijui kama tunaweza kuwa fiti kiasi hiki.Najua mtakua mnajiuliza nazungumzia nini leo....Ni kwamba katika pitapita zangu kwenye mitandao nimekutana na picha ya mwanamama Halle Berry akiwa na miaka 45 sasa na pia ni mama lakini ameweza kujiweka vizuri kiasi kwamba umri wake na mwili wake vina utofauti mkubwa sana.

Angalia picha zake za hivi karibuni.......



Hapa nijuzi tu alipokua anasherehekea siku yake ya kuzaliwa
Halle Berry na bintie siku ya birthday yake ambayo huiadhimisha kila tarehe 14/08 kila mwaka

Halle Berry , Bintiye Nahla na mpenzi wake anaejulikana kwa jina la Gabriel Aubry

Monday, August 15, 2011

Get fabulous and kissworthy lips

Lipstick
If you already have full lips, you don’t need much lipstick in my opinion. Choose a color as close to your natural color as possible just to conceal chaps and even out the surface.

If you have medium to small lips, there are a few simple tricks that can make them look fuller – without botox that is! Spare yourself the pain and the frequent cost that comes with botox.

Lipstick color

Match the lipstick color with the color of your eye make-up.
 For example:

•red, pink and brown lipstick colors along with brown eyeshadow,

•purple and light purple lipstick with purple eyeshadow,

•pink or apricot lipstick with blue eyeshadow,

•pink lipstick along with green eyeshadow,

•red lipstick with red eyeshadow,

•any lipstick color with black eyeshadow.

How to get fabulous and kissworthy lips


•First of all you need a newly-sharpened lip-liner. It should be about the same color as your lipstick, maybe a just little darker. Draw a line right on the outer contour of the lip – not inside it. Some women can actually try and draw the line outside the lip contour - see if it works for you without looking unnatural.

•Put on lipstick. If you want a more discreet color, apply another,     lighter tone on top of the underlying one. I sometimes even use two lipliners on top of each other just to get exactly the color I want.

•Put some lipgloss on the center of the lower lip to get a highlight and make the lip look bigger. Just make sure the transition between the highlight and the areas around it are smoothed out so that it looks natural.

•Add some highlighter right above the upper lip.

•If your lips look too glossy, "bite off" against a piece of paper.

ALL THE BEST.
MAJOY.

Friday, August 12, 2011

Nawatakia Mapumziko Mema ya Mwisho wa Wiki

Enjoy every one as if there will be no tomorrow!!!

Cheers,
Majoy.

Self confidence - inner beauty

Improving your self confidence

Attitude, posture and body language play an important role when making an impact. Most men just love independent and confident women and street-smart men tend to attract women. If you’re a man or a woman with great charisma, then good for you! You can stop reading right here. ;)
No matter how confident you really are, if you look a little insecure, people will probably find you less exciting. Luckily there are ways to improve your self confidence!

Eyes
With a steady look in your eyes, you can’t go wrong. A shifting gaze gives the impression of low self-confidence and people are less likely to listen to the things you say. Sadly, some of us just hate to look straight into the eyes of others. A great trick I learned in yoga class is that you get a much steadier look if you focus on the area between the eyes of the person you’re talking to. Don’t worry, he or she will not notice, because it will look exactly as if you did look them in the eyes. This way you both avoid a shifting gaze and you don’t have to look directly into people’s eyes if you don’t like to.

Posture
Good posture is important because it makes you look confident, proud and healthy. It also helps showing your breasts from their best side.

In order to get correct posture, you need to be relaxed in your body and mind. Ever tried yoga? I warmly recommend it.

Till next time,
Majoy.




Thursday, August 11, 2011

How to look several years younger

People of all times have wished for a fountain of youth. I say stop wishing and start doing something! There are some secrets that will instantly make you look younger that are free and don't involve any pain whatsoever. No, these tips will make you feel good while following them on top of everything.

How to work with the eyes to look younger
Check out the paragraph about cat eyes vs puppy eyes in the eye make-up tip section. The older you get the more likely your eyes are to grow downwards so try striving for cat eyes to look younger.


Do you suffer from dark circles under the eyes? Try foundation or concealer and use a anti-wrinkle cream for your wrinkles. Getting rid of eye make-up and using a good night cream before you go to bed after having worn a lot of make-up is even more important when you get older.
Gain weight

Thin people can look years younger by simply gaining a few pounds. This is because the skin will become less elastic as we get older and that's why gaining some weight can "fill you out" so to speak. You will probably lose a few wrinkles too.

Get enough sleep

Ever heard of beauty sleep? This term will make more and more sense the older we get. Young people often look the same regardless if they're tired or not but as you get older a few more hours of sleep or even a quick powernap can make wonders for your face!

Hair styles that will make you look younger


The older we get the more oblong our faces will become. Therefore a curly hair style or a hair style with volume can give you a rounder and younger looking face. I would recommend large curls rather than poodle style curls.

Am sure you will work on it coz no one like to look older even them(older) don't like how they look that's why they are doing everything to look and stay younger.
Why not you? Start today!!

With Love,


Majoy




Great Wedding Bouquets

There are many different types, styles and shapes of bridal bouquets, have a look at the variations before deciding on the perfect arrangement for your wedding theme. It will open your eyes to new possibilities.
The History: The custom of bouquets has its origin in ancient times. Women carried aromatic bunches of garlic, herbs and spices to ward off evil spirits. In ancient Greece and Rome, the bride and groom wore a garland around their necks, symbolizing new life, hope and fertility. Traditional Celtic bouquets included ivy, thistle and heather. The garland was not made of flowers but of strong-smelling herbs and spices. The strong-smells were thought to have mystical powers and meant to keep away evil spirits.


Bold and Bright
Casual and cheerful zinnias in a range of vivid pinks form a delightful posy. Gold-edged pink and orange ribbon is knotted around brown taffeta for a festive detail.


Flowers are Forever
Flowers fade, but fabric lasts a lifetime. Use millinery blossoms to create a stunning keepsake to carry down the aisle. 


Red, White, and Green Bouquet
This bridal bouquet overflows with blooms, including dahlias, tulips, ranunculus, maiden-hair fern, nerines, scabiosa, and viburnum foliage


Bountiful Beauty
Exotic parrot tulips combine with fringed and viridflora tulips and double-petaled narcissus in a poetic bouquet, tied with a hand-dyed silk ribbon in complementary pastel shades. To keep the large array from flopping, stems were cut short. Since tulips are a thirsty flower, the bouquet should be kept in water until right before the ceremony.


Something Blue
A bouquet is particularly meaningful when it is the "something blue" a bride traditionally carries. Few blooms are truly blue, but the traditional hue turns up here in the flowers' names: 'Nikko Blue' hydrangea and blue lace flower mix with scabiosa and nigella.

Hope u will have ana idea on what to do when choosing ur wedding bouquet in ur big day.
With love,

Majoy


Wednesday, August 10, 2011

hebu tuangalie kuhusu mapambo ya ukumbi

Jamani kusema ule ukweli mi huwa na admire sana wedding za ki-Naija(Nigeria) hawa watu bwana huwa hawafanyi makosa linapokuja swala la mapambo hasa ya ukumbi na hata wao wenyewe kupangilia mavazi.
Swali ambalo najiuliza kila siku kuhusu wapambaji wetu hapa Bongo hivi hawaoni wenzetu wanavyofanya au???? Hebu tusaidieni kwa kuwa wabunifu mapambo ya ukumbi ni zaidi ya roses na xmas light jamani khaaah!!

Hebu cheki wenzetu walipo .......Nigeria
Ona inavyopendeza

Hizo juu ni taa

Zikiwashwa ndo zawa kama hivi....lovely!!



HAYA HEBU ONA YA KWETU JAMANI....

bongo



hii kidogo afadhali ila nadhani umefika wakati wa kuacha kutumia vitambaa kwa meza ya high table au mnasemaje wadau??

Bado tuna safari ndefu sana kuelekea walipo wenzetu siku hizi hata disco light zinahuu kwenye mapambo ili kufanya mandhali kuwa ya kuvutia kwa rangi tofauti za mwanga wa taa.
Kazi kwenu wataalamu wetu wa mapambo.Najua mnaweza zaidi ya haya kwani hata sasa mnajitahidi.
All the best.

Kisses,
Majoy.

PHOTO CREDITS:Bella Naija(Nigeria) &Adamasgood(TZ)
















Tuesday, August 9, 2011

RAISI KIKWETE NA JUKUMU LA KUMLINDA DR.SLAA!!

KWA kawaida kwenye maisha hata uendeshaji wa nchi kuna siri kubwa lakini kwa hili la sasa hakuna tena usiri bali ni ukweli kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh Jakaya Mrisho Kikwete, ambaye pia ni mwenyekiti wa chama cha mapinduzi,CCM amejiapiza kuongeza ulinzi kwa kiongozi mkuu wa upinzani nchini na katibu mkuu wa CHADEMA, Dr Wilbroad Slaa.

KWA HABARI ZAIDI INGIA HUMU http://www.globalpublishers.info/

RED ROSE PUB


UNAKARIBISHWA KATIKA KIOTA TAJWA HAPO JUU KILICHOPO MAENEO YA TABATA MAGENGENI.UTAPATA HUDUMA NZURI KUTOKA KWA WAHUDUMU WACHANGAMFU HUKU UKIPATA MZIKI MWANANA.VINYWAJI AINA ZOTE VINAPATIKANA.

RED ROSE PUB inavyoonekana kwa nje

VERONICA MAHILA mmiliki na msimamizi mkuu wa RED ROSE PUB

RED ROSE PUB inavyoonekana kwa ndani
(Samahani kwa usumbufu picha hazionekani vizuri sana)

KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA NAMBA 0712 933427 / 0787 298373.
KARIBUNI SANA.

Namtegemea sana binti yangu kuliko mume wangu..........

Mwanamuziki wa zamani wa kundi la Spice Girl Mel B amesema anamtegemea sana binti yake Phoenix siku atakapopatwa na uchungu wa kujifungua kuliko mumewe sababu alishajaribu kujifanya yuko ktk hali ya uchungu na mumewe akachanganyikiwa bila kujua cha kufanya.Anasema,''Atachanganyikiwa na kuwapeleka ktk hospitali ambayo si sahihi''.
Mel B aliyasema hayo katika mahojiano na jarida la Hello.

Mel B said she expects her daughters to be more help than her husband when she gives birth to her third child

Mel B ambae ni mama wa watoto wawili Phoenix na Angel anatarajia kujifungua kwenye Clinic ambayo Victoria Beckham aliitumia alipojifungua mwanaye wa mwisho Harper Seven.

Kila la kheri mrembo na Mungu akupe wepesi ktk siku hiyo kubwa unayoitarajia.

Majoy

London riots


Rioting broke out across the capital this weekend after the shooting of Mark Duggan in Tottenham on Thursday night. Disruption began on Saturday night as a group of around 300 gathered outside Tottenham police station demanding 'justice'. Looting and arson attacks ensued across Tottenham, Enfield, Walthamstow and Brixton on Saturday and Sunday with the Met police attempting to restore order.

Fire rages through a building in Tottenham, north London as trouble flared after members of the community took to the streets last night to demand 'justice'.
High street caught in flames with debris surrounding riot police.

Firefighters battle flames and smoke in Tottenham on Saturday night.

Aldi supermarket in Tottenham is torched and looted by rioters who caused mayhem

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...